Habari wa kulima wenzangu ambao umewahi kutumia mbolea aina ya SUPER GROW,
Naomba ufafanuzi, Ubora Wake, changamoto zake je imeleta matokeo chanya shambani kwako Kwa zao Gani Na sasa upatikanaji wa super grow original wake ukoje na Bei Kwa litre Au Kwa dumu la litre Tano inauzwaje...