mbolea ya kukuzia mpunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nahitaji Mbolea ya kukuzia yenye matokeo chanya kwenye zao la mpunga

    Mbolea gani nzuri ya kukuzia niweke kwenye mpunga Wangu mpaka Sasa tangu kupandwa una Siku 45 itafaa kuleta matokeo chanya ya mavuno mazuri shambani wakulima wazoefu wa kutumia mbolea naomba muongozo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…