TFRA tfr Nyanda za juu imekamata mbolea za ruzuku zikotoroshwa. Mbolea hizi zilikuwa kwenye hiace 3 na bajaji 2 na pickup moja.
Shehena kubwa ilipakuliwa tokea katika magari hayoooo
Meneja wa TFRA amesema swali wahusika wamekamatwa ama ni madreva tu
Tushazoea hata ukisikia waethiopia...
Waziri Kivuli wa Kilimo, Umwagiliaji na Maendeleo ya Ushirika, Ndugu Mtutura Abdallah Mtutura, ameitaka Serikali ieleze fedha za ruzuku zimepelekwa wapi ikiwa wakulima milioni 2.55 sawa na asilimia 75 ya wakulima waliosajiliwa katika mpango wa ruzuku hawakupata wala kutumia mbolea hiyo licha...
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada
Bashe kupitia wizara yako ulituhaidi wakulima tunaolima kupitia vyama vya msingi kunufaika na mboleo ya ruzuku
Kweli mwaka huu tumepokea mbolea zilizo na vifungashio vyenye nembo ya ruzuku, tukakubali kwamba ahadi ya kumuinua mkulima kunufaika na ruzuku...
Katika msimu wa kilimo wa mwaka huu kumekuwapo na ulanguzi wa mbolea ya ruzuku.
Mfano hai ulanguzi huu unafanyika katika Mtaa wa Lumumba hapa Mwanza ambapo mbolea ya kilo 50 ya CAN na UREA bei ya ulanguzi ni Tshs.130,000 mpaka 150,000 ambapo bei halisi ni Tshs. 70,000. Tujiulize hawa walanguzi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dk Stephan Ngailo amesema serikali itatoa mbolea kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2022/2023 hadi 2024/2025 ili kuwapunguzia wakulima gharama za kilimo.
Serikali imeanza maandalizi ya kutoa ruzuku ya mbolea kwa msimu...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha uoto wa asili, na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Jumla ya miti 1000 imepandwa leo...
Hali ya upatikanaji wa mbolea kwa wakulima nchini imekuwa ikilalamikiwa kwa takribani miezi minne (4) kuanzia mwezi Agosti mwaka 2022 tangu kuanza kutumika kwa mfumo wa ruzuku kwenye mbolea. Serikali ilitangaza uamuzi wa kutoa ruzuku kwenye mbolea na pembejeo kwa wakulima kufuatiwa na msukumo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.