Ukitazama hii video utamuona Mbowe mmiliki wa CHADEMA akiendesha uchaguzi kwa style ambayo haijawai kutokea tangu uchaguzi wa kumpitisha Lowassa kuwa mgombea urais CHADEMA mwaka 2015.
Huu ni muendelezo wa namna Mbowe anavyoendesha chama chake. Tukio ili limeshangaza maelfu ya watu walioona...