Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, anatarajiwa kutoa tamko la chama hicho juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania. Viongozi na Wafuasi wa chama hicho wanajadili kwa kina mstakabali wa CHADEMA, kwa kuzingatia hali ya kisiasa na changamoto wanazokabiliana nazo...