Kada wa CCM Mchungaji Peter Msigwa amesema Freeman Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2 kwasababu hana jipya.
"Ningekuwepo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mbowe hastahili kuongoza kile Chama hata kwa Sekunde 2."
Pia, Soma: Mchungaji Msigwa: Ningependa...
Wakili wa Kujitegemea nchii, Peter Madeleka, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikia mwisho wa mchango wake katika siasa za mageuzi na hana jipya la kutoa katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini.
Akizungumza na Jambo TV, Madeleka amesema...