Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo (Nothing lasts longer), Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
Hivi ndivyo CCM inavyoisha na wanajua, ila wanadhani...