Wakati huo tulishuhudia CHADEMA wakisema "Samia must go". Alitamka Mbowe, lakini ni wazi wazo hilo, liliasisiwa na Lissu. Ni Lisu ambaye kazoea kutumia maneno makali makali. Maneno makavu makavu. Mbowe yeye amejaa charisma.
Sasa Lisu kafeli kwa Samia. Kaangukia pua. Anajaribu kwa Mbowe. Ni wazi...
Tumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo wengine.
Mwenyekiti wa CCM mama Samia alipaswa kujibu hoja za wapinzani kwa kutumia hoja za kisiasa na...
Ndani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"...
Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo.
Katiba ya Chadema iheshimiwe
Katiba ya CCM nayo hivyo.
Vijana wenzangu tuheshimu katiba ya nchi.....
Kwani akina Zitto Kabwe walipotaka uongozi ndani ya CDM kwa njia...
https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
Wasalaam
Naona huyu kiongozi ameshindwa kuwalinda wanachama wa chadema amekua mpole mno na ni kama anatekeleza maagizo flani flani kutoka ccm ni kama kibaraka wa ccm.
Maana haiwezekani wanachama wanauwawa halafu ww km kiongozi unasimama na kutetea wahusika hebu rejea msiba wa mzee kibao...
Hivi huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku.
Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe.
Aisee wewe...
Kipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi.
Mara kadhaa Dr Slaa ametoa tahadhari kuwa kitendo chochote cha kumtaka Mbowe aachie ngazi hususani kipindi hiki cha uhasama wa akina Msigwa na CCM ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.