Habari Wakuu,
Leo 31/ 01/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Urio kuendelea kutoa ushahidi...
Wakiwa wanashuka kwenye karandinga utawaona wana furaha na amani hata machoni tu
Wakiwa ndani ya mahakama wanakuwa Watulivu na Wasikivu sana wakifuatilia kila hatua ya mwenendo wa kesi.
Wakati wa kuondoka huwapungia mikono ya " amani" Wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi yao
Hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.