Habari wana JF
Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums
Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa chadema Taifa Freeman Mbowe kupitia posits na comments.
Hoja zao kuu ni Mbowe aachie uenyekiti wa...