Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwamba wa siasa za kisasa Barani Africa, Freeman Mbowe leo 14/07/2024 amefika Siha Mkoani Kilimanjaro, Katika Mwendelezo wa Chama chake kufundisha wananchi namna ya kulikomboa Taifa lao.
Amewaambia wananchi hao kwamba Njia pekee na ya Rahisi kabisa ya...