mbuga za tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Picha: Kwa mtu aliye mgonga Twiga kama hivi faini yake huwa bei gani?!

    Wakuu, naaamini humu kutakuwa na wajuzi watakaoweza kujibu swali langu hili. Kama umegonga Twiga kama inavyoonekana hapo pichani, faini yake huwa ni shingapi? Hii picha nimekutana nayo huko X na imenipa maswali mengi. Na hiyo hela ukishalipa inaenda kwa familia ya Twiga kama fidia au inaenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…