mbuga za wanyama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni nadra kusikia Wachina Wamekuja Mbuga za Wanyama Kutalii. Au China iko full Milima, Parks na Mazaga yote?

    Mataifa mengine ya Ulaya au America ni kawaida, ila Hawa ndugu zetu Wachina (na Asia tuseme) ni nadra kinoma. Hawana shobo au?
  2. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

    Pia soma:Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna faida gani ya kutalii mbuga za wanyama kama utahatarisha maisha yako?

    Naangalia clips mbalimbali online zinaonyesha baadhi ya matukio ya kuhatarisha maisha ya wanaokwenda mbugani. 1: Nimeona Tembo kavamia hoteli ya watalii. Anabomoa bati huku wapishi wanamponda mawe. Pembeni Kuna hema za kulala za watalii ambazo akiamua kuzisaga zote hakuna anayetoboa. 2...
  4. JamiiForums Tanzania Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  5. JamiiForums Tanzania Soma kisa hiki kuhusu changamoto ambayo nimewahi kukumbana nayo katika hifadhi ya Serengeti

    Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha Land Cruiser ya kuvutia—model GX 200, yenye injini ya Turbo Diesel 4.5L V8. Ni gari linayojulikana kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…