mbugani

Mbugani is an administrative ward in the Chunya district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 5,837.

View More On Wikipedia.org
  1. KWELI Picha hii ya wanyama wanaoonekana wakiwa mbugani imetengenezwa

    Salaam wana JamiiCheck Hii picha inanipa ukakasi kuitofautisha kama imetengenezwa na Akili mnemba au ni ya kweli, wataalamu wa masuala haya naomba msaada wa kupata uhalisia wa picha hii tafadhali.
  2. Kigwangala afunguka sakata la kujivinjari na Pisi Kali Mbugani, amkana Poshy Queen: "Simjui, Sijawahi tembea na yule binti"

    Unakumbuka sakata la mrembo Jacqueline Obeid a.k.a Poshy Queen na Hamisi Kigwangala? Sasa Mwanasiasa Hamisi Kigwangala amezungumzia tuhuma zilizomwandama kuhusu mrembo Poshy Queen na pisi kali alizowahi kudaiwa kuzipandisha ndege na kwenda kujivinjari nazo mbugani kipindi ni Waziri wa Maliasili...
  3. Matunda ya Royal Tour yavutia watanzania kutembelea Mbuga za wanyama, Heche mbunge ya Tarime amaliza mwaka mbugani

    John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
  4. Kutoka mbugani serengeti

    Unaambiwa bob killer ambaye ni muuaji mkuu katika kundi la seven brothers waliotekeleza mauaji ya bob junior amemchumbia mtoto wa bob junior. Na unaambiwa kwakua binti huyo wa bob junior hajafikia umri wa kupandwa bob killer ataendelea kumuangalia mpaka atakapofikisha umri wa kupandwa...
  5. Morogoro: RTO Tafadhali Shughulikia Trela Lililotelekezwa Mbugani Mikumi Bila Alama Zozote za Tahadhari

    Napenda kumtaarifu RTO wa Morogoro kuwa kuna trela la semi limetelekezwa tangu Jumamosi last week mpaka jana usiku mbugani mikumi kama kilomita 15 kutoka mjini, trela hilo halina alama zozote za tahadhari, halina reflective stickers wala triangle, tumepita hapo jana majira ya saa 2 na bus nusura...
  6. Filamu ya Royal Tour Ingezinduliwa Tanzania Badala ya Marekani kuepuka gharama

    Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9). Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na moja wapo ya mambo atayoyafanya ni kuzindua filamu ya Roya Tour. Kwakua hizo kazi nyingine atazofanya...
  7. Inashangaza kusikia Nyati na Pundamilia wakidai Katiba Mpya mbugani

    Kwema! Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi; Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
  8. Paul Makonda yupo mbugani anakula bata

    Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepost video fupi katika ukurasa wake wa Instagram akionyesha yupo mbugani akiwa anakula maisha. Japo hajaeleza kuwa yupo katika mbuga ipi lakini video inaonyesha ni mazingira ya mbugani, na hajaandika chochote kuelezea video hiyo ambayo...
  9. Hata Simba wakizidi Mbugani hupunguzwa, Wamaasai wa Ngorongoro wapunguzwe na iundwe sheria

    Kwema Wakuu! Mimi sina mengi ya kuzungumza. Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa. Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo...
  10. Naomba kujuzwa gharama ya safari ya mbugani kwa njia ya Land Cruiser

    Ndugu wanaJF naomba kufahamu kuhusu gharama za sasaivi za bei ya gari ya kwenda mbugani (Landcruiser). Kutokana na kushuka kwa safari za utalii kwa sasa bei za kukodi gari zimepungua? Gharama kwa siku ni kiasi gani? Nipo Arusha, natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…