Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @Priscus Tarimo B amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini...
Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
"Nikajifanyia tathmini mimi mwenywe kwamba hivi mimi Mbunge mchango wangu ni upi kwenye kuhakikisha kwamba mambo mengi yanafanyika na kwakweli nilimuambia Mke wangu nasoma hapa asisikitike maana yake hela hizi ni za familia, Njombe mumshukuru maana nayasema naye amekubali anataka tuendelee kutoa...
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi amedai kuwa mbunge anatakiwa awe kijana mwenye kuweza kukimbia kimbia, hivyo yeye ndio anafaa. Aidha...
October mwaka huu watanzania watawachagua viongozi watakao pewa dhamana ya kuongoza nchi hii kwa miaka mitano (2025 - 2030).
Wale wataochaguliwa watakuwa wataunda mihimili ya serikali na bunge na wana influence kubwa pia kwenye mahakama.
Kuyafahamu majukumu ya Mbunge huenda itasaidia vyama...
Mbunge wa jimbo la Geita mjini Constantine Kanyasu amesema mtu anayetumia pesa nyingi kutafuta uongozi maana yake anatarajia kuiba baada ya kupata uongozi huo.
Hayo ameyazungumza Machi 8, 2025 akiwa kwenye kikao cha ndani Cha Halmashauri kuu ya CCM tawi la katoma kata ya Kalangalala mjini...
Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9.
Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa.
Akizungumza wakati wa...
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza nyumba ya familia ya Bibi Maria Kaudidi Mkazi wa Kijiji cha Urauri Kata ya Rea Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro nakuicha familia hiyo bila makazi huku Bibi huyo na wajukuu wake wanne wakinusurika.
Tukio hilo limetokea Usiku wakuamkia Jumatatu...
Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, amemshutumu mkandarasi anayetekeleza mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) mjini Geita, akimtaja kuwa hana uwezo, hana mtaji, na anakosa wataalamu wa kutekeleza mradi huo kwa ufanisi.
Kauli hiyo ya Kanyasu imekuja siku moja baada ya Mkuu wa...
Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali.
Utakuwa ni aibu kubwa kama...
Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi.
Amesema pia wanaosema hajafanya chochote waangalie mabadiliko yaliyopo ndani ya jimbo hilo ikiwemo ongozeko la shule...
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza kutafutwa aliko Mbunge wa Jimbo la Mwibara Charles Kajege kufuatia Mbunge huyo kutohudhuria vikao vya kujadili maendeleo vya huo toka apate ridhaa hiyo ya ubunge kwa Jimbo hilo
Mtambi amesema hajawahi kukutana na Mbunge huyo kwa kipindi chake...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi.
Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
https://www.youtube.com/watch?v=jkX7xU7oW0A
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, Stephen Byabato, amesema ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba ni miongoni mwa miradi minne iliyopo katika miradi mikubwa ya TACTIC, ambayo itagharimu zaidi ya shilingi bilioni 47, ambapo...
Mbunge wa Jimbo la Busokelo,Atupele Fredy Mwakibete ameongoza kukusanywa zaidi ya Shilingi Milioni 27 katika harambee ya Ununuzi wa gari aina ya Coastar ya Kwaya kuu ya Usharika huo.
Akizungumza kwa niaba ya Mgeni rasmi ambaye ni spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mwakibete...
Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
kuelekea uchaguzi 2025
lindi
mbungembunge wa viti maalum
nachingwea
tanzania
ujenzi
ujenzi wa nyumba
umoja wa wanawake tanzania
uwt
viti maalum
wanawake
"Bahati nzuri Kwa Mwaka huu Kwa maamuzi ya Chama, awe mbunge awe Diwani jina lazima lirudi, yaani hapo wametusaidia sana, hapo hamna namna lazima lirudi" - Steven Mhapa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
MBUNGE GULAMALI AHIMIZA USHIRIKIANO KATI YA WANANCHI NA JESHI LA POLISI
UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI NKINGA, WILAYA YA IGUNGA
Tarehe: 28 Februari 2025
📍 Mahali: Nkinga, Wilaya ya Igunga – Mkoa wa Tabora
Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mheshimiwa Seif Khamis Gulamali, ameungana na wananchi wa...
Ikiwa ni msimu wa sita kwa Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt. Tulia Akson kugawa bima na mahitaji muhimu kwa kaya 1500 sawa na wazee 9000 wa Jiji la Mbeya, Dr Tulia amewataka wenyeviti wa mitaa ya Halmashauri ya...
Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge Mrisho Gambo amefanya mazuri kadhaa na yanaonekana ila mengi ambayo ameshindwa Kuyatekeleza ni kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.