Habari .
Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu?
Gwajima Hakuna alichofanya kawe.
Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki.
Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa.
Karibu tujifunze kitu.
kuelekea uchaguzi 2025
mbungeganiasirudimbungegani haumkubali
mbungegani hutochagua tena
mbungegani unamkubali
mbungegani utamchagua tena
siasa za tanznaia