Habari .
Ebu tuambie Mbunge yupi unatamani asirudi bungeni na utaje sababu?
Gwajima Hakuna alichofanya kawe.
Babu tale siasa 2020 ilimbeba sasa ni muda wa kusimamia majukumu ya kimziki.
Ummy Mwaimu upepo wa Corona ulimwendea vizuri ni muda wa kupumzika sasa.
Karibu tujifunze kitu.
kuelekea uchaguzi 2025
mbungegani asirudi
mbungeganihaumkubalimbungegani hutochagua tena
mbungegani unamkubali
mbungegani utamchagua tena
siasa za tanznaia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.