Mwendesha Mashtaka wa umma nchini Kenya alitangaza Jumatano kwamba Mbunge, George Koimburi, ameshtakiwa kwa kughushi vyeti vya masomo.
Koimburi, Mbunge wa eneo Bunge la Juja, anakabiliwa na Mashtaka sita, matatu kwa madai ya kughushi nyaraka za masomo na matatu kwa kuwasilisha vyeti hivyo...