mbunge masache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Masache awataka waumini kutii mamlaka

    Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, Mhe. Masache Kasaka amewasihi waumini wa dini ya kikristo kusoma maandiko ya kibiblia na kuyatendea kazi ikiwemo agizo la kutii wenye mamlaka na kuwaombea kama viongozi wa dini na Serikali. Mbunge Masache amepata nafasi ya kutoa nasaha...
  2. Mbeya: Mbunge Masache Kasaka afika Kata ya Ifumbo, Lupa Wilayani Chunya

    MBUNGE KASAKA APOKELEWA KWA KISHINDO IFUMBO Mbunge wa Jimbo la Lupa Masache Njelu Kasaka amemalizia ziara yake ya Kata kwa Kata na amewafikia wana Ifumbo na kutembelea Vijiji viwili vya Lupa Market pamoja na Ifumbo. Katika ziara yake Mhe. Mbunge ameongea na wananchi na kuwapa mrejesho wa...
  3. Chunya, Mbeya: Mbunge Masache Kasaka afanya ziara jimboni Lupa

    ZIARA JIMBONI LUPA Tarehe 22 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Lupa, Mhe. Masache Kasaka Mbunge wa Lupa akiongozana na wajumbe wa Mfuko wa Jimbo wameendelea na ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya Chunya. Amekagua; 1. Ujenzi Barabara, 2. Kituo Afya Ifumbo, 3. Sekondari Isenyela na 4...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…