mbunge msukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Pre GE2025 Mbunge Musukuma atumia zaidi ya Tsh bilioni 1 kununua ambulance, gari la Polisi na kujenga kituo cha Polisi Geita Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Musukuma, leo Machi 6, 2025, ameonesha magari 10 ya kubebea wagonjwa pamoja na moja kwa ajili ya Jeshi la Polisi, ambayo atawakabidhi wananchi wa jimbo lake ili kuboresha huduma za afya na usalama wa jamii. Musukuma amesema magari hayo yatanufaisha wananchi wa...
  2. Mbunge Musukuma nae ni kati ya watunga sera na sheria za nchi yetu?

    Ifike hatua sifa ya kuwa mbunge iwe ni elimu na uelewa wa mambo Kwa kina Msiangalie utajiri na kudhamini wake katika Chama ndo awe mbunge Mbunge Msukuma ni layman tu, yaani aliongea hana tofauti na mnywa kahawa pale Buguruni Leo nimemsikia akipuuza na kusema kuwa wahudumu wa SGR wafutwe kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…