MBUNGE WA JIMBO LA NGARA MH. NDAISABA RUHORO AKONGA MIOYO YA WAKULMA WA KAHAWA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mheshimiwa Ndaisaba George Ruhoro amehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Ushirika Ngara Farmers Cooperative Society 2024-2025.
Akizungumza na Wakulima pamoja na Wanachama wa Ngara Farmers...
06/12/2024
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba G Ruhoro kwa ushirikiano na Ofisi ya Kilimo Wilaya wameshiriki kumkabidhi mkandarasi aliyeshinda zabuni ya ujenzi na umaliziaji wa soko la Kimkakati Kabanga. Hii ni utekelezaji wa ahadi ya RUHORO na DIWANI wa Kabanga Mh Hafidhi Abdallah waliyo...
MBUNGE NDAISABA RUHORO AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI KATA YA MABAWE, NGARA
MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO Mbunge wa Jimbo la Ngara amehudhuria Mkutano wa hadhara Kata ya Mabawe ulioandaliwa na UMOJA WA VIJANA WA CCM PAMOJA UMOJA WA VIJANA WA BODA BODA Kata ya Mabawe.
Mhe. Ndaisaba Ruhoro...
Kutokana na kikao cha Wazee wa wastaafu na Mh Ruhoro kilichofanyika hivi karibuni nyumbani kwake Buhororo ambapo watumishi wastaafu walimtuma mbunge wao kuwapigania, Leo Mbunge wa Jimbo la Ngara ameiomba serikali kuboresha kiwango cha Pensheni ya wastaafu.
Ameiomba Serikali kuangalia uwezekano...
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO amewaomba watanzania kupuuza watu wachache wanaohamashisha maandamano nchini hasa wale wanaotumia mitandao kufanya vikao vya kichochezi
Mbunge Ruhoro aliyasema haya alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara, Kijiji cha Kumubuga, Kata ya Nyamagoma...
Mbunge Ndaisaba Ruhoro achangiwa fedha za kuchukua fomu ya ubunge na wanawake zaidi ya 400 wa kabanga.
Ngara; 02.09.2024
Wanawake zaidi ya 400 wa Mji mdogo wa Kabanga waliandaa Hafla ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuiwakilisha...
Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Mkoa wa Kagera ameshiriki Baraza la Kikanuni la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) la Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera.
Mhe. Ndaisaba George Ruhoro Ametoa Shilingi Milioni 5 (5,000,000) kwaajili ya Kununua Simu za...
"Sukari ni chakula, watanzania wa hali ya chini wanategemea Sukari kuweza kunywa Chai. Suala la Sukari ni suala la Usalama wa Nchi kwasababu chakula ni suala la kiusalama ndani ya Taifa. Hatutakiwi Kufanya Mchezo na Suala Linalogusa Usalama wa Nchi" - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.