Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby amesema “Ubaya wenu nyie mawaziri mkishapewa Uwaziri mnajiona mnaweza kuwa Rais, naacha kazi za Uwaziri mnaanza mipango ya kuwa mtakuwaje Rais, mnasahau aliyekuteua amefanya hivyo ili ufanye kazi zake akupende, umtumikie yeye.”
Amesema hayo katika mkutano na...
Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi imesababisha awe na mipango mingi isiyo na tija kwa taifa ikiwemo hela kutopelekwa kwa wakati kwenye...