Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Jumanne Sagini amewataka Maafisa biashara kuhamasisha wananchi kuanzisha biashara na sio kufungia biashara kama wanavyolalamikiwa.
Akizungumza Katika ziara yake ya Usomaji Utekelezaji wa Ilani kipindi cha miaka minne kwa...