mbunge wa jimbo la moshi mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini, Priscus Tarimo unatambua uhitaji wa wananchi wako?

    Mh mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Heri ya kwaresma. Nije kwenye hoja, kuna uwezekano mkubwa wananchi wa Jimbo la moshi mjini tena kupitia ticket ya ccm kukosa Kura Za maoni kama walivyofanya awali au kukosa ubunge 2025. Tatizo ulilonalo ni kutokutambua wananchi wako wanahitaji nini na...
Back
Top Bottom