Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala ametoa hoja bungeni leo, Septemba 4, 2026 katika wizara ya Habari sanaa michezo na utamaduni kuhusu maadili ya watoto wanaocheza shule za Academy za Mpira, bungeni Dodoma.
Thomas Kampala Mheshimiwa Mwenyekiti, kwanza niipongeze serikali kwa kutoa miongozo ya...