Mbunge wa Jimbo la Lulindi, Issa Ally Mchungahela, amezitaka mamlaka zinazohusika na uteuzi wa viongozi kuhakikisha zinatoa ushauri wa kitaalamu kwa Rais, ili kuepuka changamoto zinazotokana na uteuzi wa baadhi ya viongozi serikalini.
Akizungumza Bungeni wakati wa kuchangia Hoja ya Kamati ya...