mbunge wa mbogwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe Fagason Nkingwa umri miaka 36, watoto 15 kutoka kwa wake 3. Mpango ni kufkisha 20

    Mbunge wa jimbo la Mbogwe mkoa wa Grita Fagason Nkingwa ana umri wa miaka 36, wake 3 na watoto 16. Hakika anatekeleza agizo la Mungu kwenye Mwanzo 1:28; Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; === Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Mhe. Fagason Aron...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Nicodemas Maganga: Nitasimamia kikamilifu Fedha za Serikali kwa manufaa ya Wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani Geita, Nicodemas Maganga, amesema ataendelea kuwa mkali na kusimamia kwa karibu matumizi ya fedha zinazotolewa na serikali kuu kwa ajili ya kutatua changamoto za wananchi na kuboresha miundombinu ya kijamii. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga: Wasimamizi wa Uchaguzi kama kura zangu hazikutosha msiongeze, tangazeni kama zilivyo

    Wakati joto la uchaguzi likianza kupamba moto, Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki ili watoe matokeo sahihi bila kuongeza kura wala kupunguza. Mbunge huyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema mgombea akipewa kura sahihi kwenye uchaguzi...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Mbogwe: Huu mwaka wa uchaguzi, bora tuhukumiane wenyewe kabla ya kuhukumiwa na wananchi

    Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu . Amesema kumekuwa na watumishi wasio tenda haki na wajibu wao kutokana na utekelezaji kufanyika kwa asilimia 50 huku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…