mbunge wa nkasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Pre GE2025 Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida khenani asema fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM wala siyo za 'baba zao' ni kodi za wananchi

    Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi. Amesema pia wanaosema hajafanya chochote waangalie mabadiliko yaliyopo ndani ya jimbo hilo ikiwemo ongozeko la shule...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Aliyekuwa Mbunge, Keissy: Msichana wa miaka 14/15 anafaa kuolewa. Nilioa wangu akiwa na miaka 15. Hiyo ndio sheria ya Uislamu

    Wakuu, Kwenye kipindi cha One on One Ally Mohamed Keissy aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini (2010 - 2020), ametoa mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mvutano wa sheria mpya ya ndoa. Kessy anasema kuwa yeye anaamini kwamba mtoto wa kike akishavunja ungo tu anaweza kuolewa...
Back
Top Bottom