Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7)
Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023...
Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
Wakuu
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na kupunguza changamoto ya ajira.
Kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula Wezesha Foundation, ambayo...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa watoto wao hata kama wameachana na wake au wapenzi wao.
"Wilaya ya Songwe, Rais Samia amefanya kazi...
Wakuu.
Wabunge wa CCM washaanza kutoa siri za kambi
Mbunge wa viti maalum Jesca Kishoa hivi karibuni akiwa nanaongea na wananchi amefichua kuwa aliwahi kushauriwa na kiongozi mmoja wa kisiasa kwamba abadili mbinu zake za kisiasa na kwamba badala ya kuwahudumia wananchi, aweke akiba ya fedha...
Mbunge wa viti maalum Zanzibar, Tauhida Gallos ameeleza kuwa hata aondoke nani bado chama cha mapinduzi kitaendelea kuwa imara.
"Hakuna kiongozi anayeweza kukiteteresha hiki chama hata uone anapendwa vipi"
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Jesca Kishoa, amesema anaunga mkono uteuzi wa Rais Samia Suluhu kuwa mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akibainisha kuwa uongozi wake umeihakikishia nchi usalama na amani.
Aidha, ameahidi kushirikiana naye ili kuhakikisha anapata ushindi katika uchaguzi...
Wanabodi,
Hivi kweli kwenye nchi ambayo wanafunzi wanakaa chini na hawana hata vyoo huko mashuleni, mtu ambaye umeaminiwa na wananchi na wanawake wenzio kweli unaenda kugawa computers huko CCM?
Wakati napita napita huko mitandaoni nimekutana na clip ya Mbunge wa Viti Maalum Stella Ikupa, akiwa...
KAGERA MPOOO!!
Baada ya Shughuli za Bunge kuahirishwa,sasa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Kagera Mhe. Oliver D. Semuguruka (Twiga) anakuja kufanya Ziara katika Wilaya zote za Mkoa Kagera.
“ Kiongozi bora ni yule aliye karibu na anaowaongoza.” Ni Imani yangu kuwa kila mmoja ni shuhuda wa namna...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa Akiwakilisha vyema Bungeni Mapema Aprili 24, 2024 kwenye kipindi cha Maswali na Majibu.
Swali: Kwakuwa tatizo la maji linaathiri shule za bweni (boding) na haswa watoto wa kike ndio waathirika wakubwa. Je, Serikali ina mpango gani wa haraka...
Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi.
Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) amemwandikia Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Jacob Mwambegele barua ya kumuarifu kuwepo kwa natasi moja wazi ya kiti cha Ubunge Viti Maalum Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mheshimiwa Spika ameandika barua hiyo kufuatia kupokea barua...
Habari wana jf
Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa viti maalum.
Huwa pia namsikia akitajwa kwenye masuala ya jumuiya (dini) ila sijawahi kumwona...
MBUNGE MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 VIKUNDI VYA WANAWAKE KATA ZOTE ZA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 03 Julai, 2023 ameanza ziara rasmi kutembelea Kata zote za Mkoa wa Katavi na kuzungumza na wananchi.
Katika ziara...
MBUNGE LATIFA JUWAKALI AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI WIZARA YA ELIMU 2023-2024 BUNGENI JIJINI DODOMA
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana anayetokea Zanzibar Mhe. Latifa Juwakali amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa maono makubwa na jinsi...
MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AKICHANGIA HOJA YA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata tarehe 09 Mei, 2023 alichangia hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe.
"i. Mfano, sisi Mkoa wa Rukwa Mbegu...
MH. JANETH MAHAWANGA AGAWA TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI WA KIKE 700.
Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janeth Elias Mahawanga ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Tisha Mama Foundataion Kwa kushirikiana na Taasisi ya T-MARC Tanzania amekabidhi taulo za Kike kwa wanafunzi 700...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.