Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7)
Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023...