Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM), amewataka wanachama wa chama chake kuacha kumwekea fitna ili apate fursa ya kugombea tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao. Akizungumza nje ya viwanja vya Bunge na Jambo TV, Waitara alieleza kuwa fitna hizo zinamwathiri...
Ninachowakubalia Wakurya ni wananchi wasema ukweli ni wawazi. Hakuna kabila lenye upendo kama Wakurya na wachache tunawaelewa vibaya. Ni wananchi waungwana sana. Ninachokiona kwenye Jimbo la Tarime Vijijini ni vema Mhe. Waitara anze kufunga virago.
Wamemueleza waziwazi mbele yake kuwa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mbunge wa Tarime Mwita Waitara leo ameshushwa jukwaani na kufurushwa na Wananchi alipokuwa kwenye Mkutano wa hadhara kjijiji cha Kanisani, Kata ya Sirari.
Bado haijajulikana sababu hasa za Wananchi hao kumfurumusha mbunge wao huyo (Tunaendelea kufuatilia)...