Leo nimekuja Mwanza kikazi, baada ya kufika nikachukua chumba lodge x, nikaenda gereji kufanya service maana keshokutwa narudi Morogoro. Nikiwa pale gereji nikajaribu kudodosa kujua ntapataje company, fundi mmoja akanipa connection ya Telegram.😂
Nikawasiliana nayo ikanipa gharama zake na chumba...