MTI WA MBUYU KATIKA KITUO CHA MBUYUNI HAUTAATHIRIWA NA UJENZI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT 4), JIJINI DAR ES SALAAM
Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa Miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam...