Wanabodi,
Preamble
Mtu mwenye akili na mwenye busara, anapojikwaa na kuanguka, anaangalia mahali alipojikwaa, ili kuipata sababu iliyomfanya ajikwae na kuanguka, badala ya kuangalia alipoangukia tuu, anaamka na kuendelea na safari yake, hivyo huko mbele atakuja kujikwaa tena pale pale...