Mbweni, Dar es Salaam is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,475.
Nikipita Mbweni huwa najiona mjinga sana,mahekalu yale yamejengwa nayaona kabisaaa.
Nimezaliwa mjini,nimekulia mjini,shule nimekwenda kiasi chake,lakini sijui nilifeli wapi kumiliki mjengo maeneo hayo.
Pamoja na hayo yote,Masaki bado ni the best.
Ukitaka kujua kama chuo unachosoma ni...
NYUMBA INAUZWA
MKOA: Dar es Salaam, Tanzania
WILAYA: Kinondoni
MAHALI: Bunju Beach, Moga
NYUMBA INAUZWA KAMA ILIVYO
BEI: TZS Milioni 550
MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA KIWANJA: SQM 1600
UMILIKI: Ina hati safi
NYUMBA KALI SANA INAUZWA
SIFA ZA NYUMBA:
Vyumba 4 vikubwa vya...
Ndugu wadau,
Ningependa wananchi wafahamu kuwa barabara muhimu inayotoka Mbweni Kijijini kupitia Malindi , masaiti hadi Boko Magengeni imefungwa !
Hii ni barabara muhimu sana hasa kwa wakazi wa Mbweni kijijini na wengineo wa njiani. Cha ajabu haieleweki kwa nini imefungwa !
Ikumbukwe kuwa...
Maelezo ya Nyumba:
Nyumba kubwa sana na ina sehemu ya parking kubwa sana.
Nyumba ipo mbweni JKT.
Nyumba na eneo la wazi ukubwa wa SQM 2201.
Nyumba ina mortgage Mwanga Bank kiasi cha MiL 300 so tunaenda kufanya process zote bank ili uchukue Nyumba na hati zake.
Kuiona nyumba no nakupeleka na...
Yaani kuna sura zao tayari washakariri, ukija tu uko simple na gari yako ya kawaida au ukija tuu na mguu wanakuchukulia poa.
Mmiliki kama upo humu jamiiforum ebu fanya semina tena na wahudumu wako, una sehemu nzuri sana, una jiko zuri sana ila tayari wahudumu wako wanaambizana kwamba yule ana...
Habari wakuu nauza kiwanja chenye hati ( SURVEYED PLOT) MBWENI MPIJI (Block No 09,Plot 139)
UKUBWA WA KIWANJA SQM 820
KUNA BANDA KUBWA LA VYUMBA VINNE LENYE WAPANGAJI
BEI: 110M
MAWASILIANO:0621973591
Kwa video na picha zaidi nichek Whatsap.
Nb: Kiwanja hakina udalali nauza mwenyewe ila dalali...
Huku kuna mijumba ya hela nyingi sana.
Hawa wamiliki ni Wabongo wenzetu? Hizi hela wanapata wapi?
Kunaa gari niliwahi kuliona nyuma limeandikwa โPopote Ulaya tatizo Pesaโ
Visit Mbweni
Kuna video inatrend mitandaoni ya msichana akishambuliwa na nyuki Mbweni huku jamaa wakiwa ndani ya gari ya chumba wanarekodi.
Kwa mlioiona na kujua hatma yake tunaomba mtujuze nini ilikuwa hatma ya yule dada?
Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo
Ina Vyumba 2 kimoja master
Jiko,public toilet, sebule
Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20
Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa
Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000
Bei mln 19 maongezi yapo kidogo
0675 065906
PLOT FOR SALE MBWENI
Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa
Iko Mbweni mpiji inagusa lami
Ni sqm 1000
๐๐Ina Hati safi kabisa
๐Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo
๐Plot inataka milion 150 maongez kidogo
NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
beach
beach plot
bunju
for sale
ghorofa
house for sale
kigamboni
kigamboni housegosale
kisasa
madale
magufuli
mbezi
mbezi beach
mbweni
nyumba
nyumba ya ghorofa
plot
plot for sale
plots
sale
university
upanga
viwanja goba
Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria.
Hapa...
Kiwanja kinauzwa
Kipo mbweni malindi , jijini dar es salaam
WILAYA ya Kinondoni BARABARA ya bagamoyo road kina UKUBWA wa sqm 1495 ni corner plot na kina Hati miliki safi kutoka wizara ya Ardhi kina uzwa TSH MIL 180 mazungumzo yapo kwa muhitaji KARIBUNI sana
Mawasiliano
0712464777 whatsap & call...
Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat
Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat
Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina hati
Kipo kingine mbweni mpiji block 13 sqm 1090 kina hat bei 50 milion
Kipo kingine
mbweni...
Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza.
Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!