mbwiga wa mbwiguke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Braza Kede

    Simba wamlipe Mbwiga wa Mbwiguke kwa kutumia maneno ubaya ubwela

    Mnyonge mnyongeni huyu mzee ndio ametambulisha kwa ukubwa matumizi wa hayo maneno kwenye uwanda wa football hapa nchini. Simba wamlipe huyu mzee kwa kutumia hayo maneno. Kama humjui mzee mbwiga pita kimyakimya.
Back
Top Bottom