mc alger

Mouloudia Club d'Alger (Arabic: نادي مولودية الجزائر), referred to as MC Alger or MCA for short, is an Algerian football club based in Algiers. The club was founded in 1921 and its colours are red, green and white. Their home stadium, Ali La Pointe Stadium, has a capacity of 40,000 spectators.The club is currently playing in the Algerian Ligue Professionnelle 1.
Founded in 1921 as Mouloudia Club Algérois and Mouloudia Chaâbia d’Alger, the club was known as Mouloudia Pétroliers d'Alger from 1977 to 1986 and changed its name to Mouloudia Club d'Alger in 1986. The club colours are red and green.
MC Alger were the first Algerian club to win a continental competition, winning the 1976 African Cup of Champions Clubs. They are one of the most successful Algerian clubs having won the domestic league 8 times, and the domestic cup 8 times, tied with USM Alger, CR Belouizdad and ES Sétif.

View More On Wikipedia.org
  1. Mambo 10 niliyoyaona kwenye Mechi ya Yanga Vs MC Alger

    Kwa Tathimini Yangu haya ndio mambo 10 1.Algers walikuja na mpango wa kuzuia kipindi cha kwanza. Walipaki basi na Yanga wakashindwa kupress backline ya Algers. 2.Yanga hawakucheza kama team, Kila mchezaji alitaka kuwa man of the match kitu ambacho kiliwaghalimu Yanga,Makosa ya Mzize kupiga...
  2. Huyu ndio aliwadokeza hawa Waarabu. Ameniharibia huu mwaka kabisa namlaani

    Hii text jamaa wa MC Algers wanasema ndo aliwashtua mambo mengi mengine kuna jamaa anasema atatuma jumbe zote ambazo watu walikuwa wanawatonya MC Algers. Kuna watu wamewapa mchongo wote hawa jamaa. Hawa ndo wamesababisha tusipate ushindi. Uongozi wa MC Algers walishasema kuhusu referee kuwa...
  3. Machache niliyoyaona kwenye mechi kati ya Yanga na Mc Alger

  4. T

    Match Analysis: Young Africans SC vs. MC Alger

    FT: 0-0 Takwimu Possession: Hapa Yanga wali-dominated umiliki wa mpira kwa asilimia (69%) wakati MC Alger (31%). Mashuti: Yanga walikuwa na mashuti 18 wakati MC Alger's 3, Lakini hakuna lililozaa goli. Big Chances: Yanga walitengeneza nafasi 1 kubwa ya kufunga, wakati MC Alger...
  5. Wawekezaji tumefurahi yanga kutolewa

    Wawekezaji tumefurahi yanga kufumuliwa hatua ya makundi Ili nguvu zote azielekeae ligi za ndani Ili tuanze kupiga minotii japo Leo nimepata ya supu ila pia nimefurahi yanga kutolewa pia ila kazi ndio imeanza rasmi.
  6. Yanga Bingwa : Nabashiri ushindi kwa Yanga leo Yanga itashinda 3:1 Mc Alger

    Tukutane hapa hapa baada ya dakika 90+5
  7. MC Alger anafungwa atake asitake. Yanga isiposhinda nipigwe ban ya wiki

    Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu. Leo tunashinda. Ubao umetusoma vizuri na wazee wamebariki. Hatoki mtu hapa kwa Mkapa. Nipigwe ban na viboko 14 hadharani...
  8. FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Gusa. Achia. Twenda kwao. Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi. Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali. Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
  9. Ili Yanga Game ya Mwisho Ashinde Goli 3 Na Mc Alger

    HABARI. Ili yanga afuzu game la mwisho inatakiwa ashinde 3 goals game ya Mwisho na Mc Alger. AL hilal mechi 4 point 10 Mc alger mechi 5 point 8 Yanga mechi 4 point 4 Tp mazembe mechi 5 point 2.
  10. TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  11. FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

    Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana. MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele. Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na...
  12. CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

    Habarini wakuu, Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe, Al Hilal vs Yanga Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
  13. G

    Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

    Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani. Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa, Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba
  14. MC Alger wamemtupia virago kocha wao Patrice

    Haya sasa kumekucha huko naona wapizani wa Yanga nao wamefukuza kocha. Sasa je itakuwa faida kwa timu ya Wananchi kulamba alama 3 kwa Mkapa? ================= Klabuni ya Mouloudia Club d’Alger almaarufu MC Alger ambao ni wapinzani wa Yanga Sc kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
  15. SI KWELI Gamondi amesema hakuwa tatizo pale Yanga na ikiendelea kucheza kama ilivyocheza dhidi ya MC Alger haitafika robo fainali

    Salaam wanajamvi, heri ya siku ya uhuru watanzania wenzangu!! Kuna hii taarifa nimekutana nayo kwamba Gamondi amesema, "Sasa Mmejua kwamba Sikuwa Tatizo pale Yanga SC, Kama mkiendelea kucheza kama Juzi hamfiki Robo Fainali Msimu Huu" hivi kweli huyu mzee anaweza kusema hivi?
  16. Tathmini fupi mechi ya mc Alger Vs Yanga

    Mchezo ulikuwa mzuri timu zote zilicheza Kwa mipango mizuri Coach Saed umekuja Kipindi kigumu, nashauri upweke muda Nampongeza coach Saed Ramovic ameingia na mbinu nzuri kiufundi Tatizo la coach anakosa mamlaka hajiamini kabisa Nimeshangaa sub ya Aziz ki kutoka mapema vile Coach Saed...
  17. N

    Yanga kufungwa na MC Alger leo,Simba itacheza kesho na Constatine

    Habari za asubuhi wana jukwaa natumai mmeamka salama kabisa na tayari mmeshafanya maombi kwa Mwenyezi Mungu juu ya mahitaji binafsi. Kichwa cha habari kinahitaji elimu ya darasa la nne tu kukielewa kwa ufasaha,utopolo fc msikurupuke kama mwanasheria wenu Patrick Simon bali mnapaswa muwe na...
  18. FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune. Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya: Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE. Pacome kapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…