mch. prosper shao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EINSTEIN112

    Huyu mchungaji anaitwa Mch. Prosper Shao wa KKKT Usharika wa Tumaini -Bariadi anahubiri asubuhi kupitia UPENDO-TV

    Huyu mwamba anahubiri kila asubuhi ananibariki saaana yaani mafunzo yake hata kama sio mfuasi kama mimi ila unajisikia kijifunza jambo flani la maisha nimemfuatilia wiki hii, najisikia kubarikiwa sana. Nimeona niwashirikishe, anaanza sa 12.hadi sa moja kama sijakosea. Muwe na siku njema...
Back
Top Bottom