mchaga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  2. Mr Ballo

    Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  3. Davidmmarista

    Mchaga vs Mkinga

    Kati ya Mangi na mkinga yupo ni hatari zaidi kwenye issue ya business, highest IQ, risk management n.k? Wadau 🫴🏻🫴🏻🫴🏻uwanja ni wenu
  4. kyagata

    Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

    Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake. Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo. Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe? Mbona...
  5. A

    Mchumba "MKE" - Mchaga, Msukuma au Mhehe / Mbena

    Habarini ndugu zangu 🙏 Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51. MHUSIKA AWE NA SIFA KUU KATI YA HIZI ZIFUATAZO: 1. Mchaga, Msukuma, Mhehe au Mbena with a good heart like Rebecca - without pretending or faking behavior 2. Umri : Miaka kati ya 25 hadi 35. 3. NOT HAVING ANY CHILD. 4. Government or...
  6. and 300

    Mchaga na Fursa!

    Nawapongeza wachaga Kwa kuchangamkia fursa iwe kwenye Biashara, Siasa au hata Dini NB: Uzuri wana nidhamu Sana katika kutafuta na matumizi, na vitu vinaonekana tofauti na ndugu zetu wa Pwani (Tanga, Pwani, Moro, Mtwara, Lindi na Dar) wao hawapendi kazi Ila starehe kama kazi.
  7. F

    Maasai vs Mchaga

    Msonjo amenunua gari kwa ajili ya biashara ya daladala, ameenda kuomba leseni ya usafirishaji abiria. Ikawa hivi:- Msonjo – wewe mama, mupe mimi laseni (leseni) ya gari. Afisa-Leseni (Nkyekuu Minja) – leseni ya udereva au? Gari ya kazi gani? Msonjo – wewe hapana sikia musuri? Asisumbue mimi...
  8. mdukuzi

    Natafuta mwanamke mchaga

    Natafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
  9. LIKUD

    Kisa cha ndoa ya Mpemba Swala Tano na mwanamke mchaga mkatoliki mwenye msimamo mkali

    Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali... SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA. Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
  10. N

    IPhone13 na dada zetu

    Yaan naumia sana kwa sisi wavulana/wanaume kuona wadada zetu hawawezi kujitegemea mpaka now tuna wadharirisha mitandaoni 😭 ili sio vizur na aileti picha nzuri katika jamii serious. Please tuache hii tabia. Na pia wakina dada msijirahisishe sana ni ushauri tu. Note ushauri unaweza kuhufata au...
  11. Shujaa Mwendazake

    Adaiwa kuua mke baada ya kunyimwa unyumba

    Fausta Silayo (22), Mkazi wa Kijiji cha Samanga wilayani Rombo ameuawa kwa kuchomwa kisu na mume wake kwa madai ya kumnyima unyumba. Mwanamke huyo ambaye bado alikuwa uzazi wa mwezi mmoja alichomwa kisu Julai 23 na kupelekea kifo chake Julai 24 wakati alipokuwa amewahishwa Hospitali ya Huruma...
  12. M

    Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    Habari zenu wapendwa? Mwenzenu na matatizo sielewi nichukue uamuzi gani naombeni mnishauri wapendwa, nilianza mahusiano na mkaka wa kimakuwa toka 2016 kiukweli ananipenda sana na Mimi nampenda na Mungu ametujalia mwaka Jana mwezi wa 12 kapeleka mahari kwetu akanivalisha na Pete ya uchumba...
  13. A

    Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  14. 2019

    Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

    Binafsi mimi siyo mhaya wala mchaga ila nimeona nyuzi nyingi sana wanakosoana na kutaniana. Jambo la kushangaza zaidi hata kama uzi unahusu mambo mengine akitangulia mhaya kutoa maoni yake ujue lazima mchaga aje kukosoa, mchaga akisema hivi mhaya atakuja kupinga. Mimi nauliza naomba kujua hasa...
  15. J

    Hongera CCM Treni ya Moshi - Arusha yawa mkombozi kipindi hiki cha sikukuu hakuna mchaga atabaki DSM!

    Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka. Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea. 2020 hakuna mchagga atakula Krismas...
  16. M

    Tumeachana rasmi kwa kuwa mimi si Mchaga

    Kwa kweli dunia ina mambo ya ajabu sana. Exboyfriend wangu ni Mchaga wa milimani. Tumedumu naye katika mahusiano kwa miaka zaidi ya mitano. Lakini katika muda huo kumekuwa na ups and down nyingi sana ambapo tukikaa tunarekebisha maisha yanaendelea. Kwao natambulika ingawa si rasmi. Na swali la...
  17. Nyendo

    Mtoto Bahati Cornel wa Umbwe primary school amepotea. Yupo Polisi Kawe

    Mtoto Bahati S/o CORNEL, Mchaga, 8 yrs old, M/Funzi Umbwe primary school, Darasa la tano. Mtoto huyu yupo hapa police Kawe ambapo alijieleza kuwa amepotea, alikuja jijini DSM akitokea mkoani Kilimanjaro ambako ndiko anakoishi na Baba yake Mzazi aitwae CORNEL JOSEPH MASAWE, ambae anafanya kazi...
Back
Top Bottom