Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi...