Habari wana JamiiForums,
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).
Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
Mfano wa huo mchanga ni kama kwenye picha hapo
Barabara za jijini Dodoma inaonekana hazifanyiwi ushafi wowote maana hata ukipita barabara ya lami vumbi lake ni sawa na alitepita barabara ya vumbi tu.
Najiuliza hizi uongozi wa jiji unashindwa kutenga bajeti kwa ajili ya kutunza barabara za makao makuu ya nchi?
Na kama hali hii ipo makao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.