Habari wana JamiiForums,
Kuna jambo naomba ufahamu kidogo hapa. Ukipita barabara za lami utakuta kuna mchanga umefagiliwa na wasafisha barabara na umewekwa pembezoni mwa barabara (ila ni kwenye lami).
Je, kuchota mchanga huu ni kosa kisheria?
Mfano wa huo mchanga ni kama kwenye picha hapo