Tsh. Milioni 5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi.
Je 2025 akiwashinda watampisha kiti?
Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu wameanza kutengeneza Urafiki bandika kwake?
Pia soma: Lissu na CHADEMA wasikubali kejeli...