Na hata kama mama alikuwa ana kipato chake, kwa asili kipato kinachotumika kwenye nyumba huwa ni cha baba.
Mama kapika chakula - bila hela ingewezekana?
Mama kanipa hela ya nguo - ni baba kazitafuta, kampa mama awape.
Mama kanitumia pocket money - ni baba kazitafuta, kampa mama awape...