Mar pap jirani kaja nyumbani, kapiga hodi nilikuwa nimelala nimechoka na kazi. kapiga piga hodi na kelele nyingi za kuniita niamke, nikaamka kumsikiliza alafu nilikuwa nimechoka sana na night, akanambia habari nikamwambia salama shikamoo kaanza kunisema sema kwanza kisa nimemwaga majivu ovyo...