Leo mida fulani nimepigiwa na wife ananiuliza Mtendaji wa Kata anakuhitaji uende ukamuone ofisini kwani umefanya kosa gani?
Nikasema sijui maana sikumbuki kama nna kosa lolote ngoja niende nikamsikilize, ikabidi nitoke nilipo nisitishe shughuli niliyokuwa naifanya niende nikamsikilize...
Wakuu, sina haja ya kuwasalimia kutokana na mvurugo bila kusahau matusi ya Mkuu Mpwayungu naomba kuuliza wajuvi hivi mwalimu akishindwa kuchangia mchango wa MWENGE ambao ni shilingi elfu tano katika halmashauri hii anakuwa amemkosea nani kwa sababu naona ni wazi tunatafutana lawama. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.