mchango wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Mawaziri wa Afrika wanaoshughulikia Nishati na Uchukuzi watambua mchango wa Rais Samia

    Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na kumpendekeza kutangazwa rasmi kuwa kinara wa Umoja wa Afrika wa ajenda hiyo. Hatua hiyo imefikiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

    Baada ya kuzindua kitabu chake Jioni ya leo Rais Samia amesema anamshukuru Mungu kwa kumpa Mwinyi miaka 96 na sasa anamwombea afike 100 Pia amesema anaona Mzee Mwinyi akipata shida ya kupanda gari alilonalo na ameamua kumpa zawadi ya benzi la chinichini. USSR ===== “Nakushukuru sana Mzee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…