Marufuku imekuwa ikipigwa na madhehebu ya walokole , hasa kwa wanawake ambao wanapo okoka wanakuwa tayari wana watoto lakini hawana ndoa ama kwa kifupi wamezaa kabla ya ndoa.
HOJA ZA WANAOPINGA SEND OFF/K-PARTY:
Wewe binti, kishakula tunda la mti wa kati , amekaa kwa mwanaume miaka 4 yote...
Kumekuwa na tabia ya watu wamepanga kuoa na kuolewa kuomba michango. Tabia hiyo imekuwa zaidi miaka ya karibuni kama mtu ana namba yako anaunda group na kukuingiza huko.
Wanaopinga michango:
Hawa ni wale ambao hawajaolewa, umri umeenda na wamekata tamaa hivyo hawapo tayari kuona wenzao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.