Apandishwa cheo kuwa staff sergeant kwa kuiwezesha Zambia kufuzu Olympic 2024 Paris.
Wadau hamjamboni nyote?
Barbara Banda mchezaji timu ya Taifa Wanawake Zambia amepandishwa cheo na Jeshi la nchi hiyo na kuwa Staff Sergeant baada ya kuiwezesha timu yake kufuzu kushiriki mashindano ya Olympic...