Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.
Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.
Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna...
Huyu Mtu hana sababu yoyote ya nafasi muhimu kitaifa kama hii. Siyo kwamba tunamchukia, lakini Hata wewe mh. Rais unatambua kwamba njia aliyopitia kuwa boss wa NHC ni hiyo hiyo aliyotumia wewe kumurudisha na sasa kuwa msajili wa hazina. Labda ilikuwa kukomoa maamuzi ya Magufuli.
Siamini wewe...
Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa.
Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala...
Namfuatilia hapa mubashara kwenye mtandao. Msajili wa Hazina Bw. Mchechu anasema ni wakati muafaka sasa Mashirika ya Umma kuanza kuchapisha taarifa zao za Utendaji za Mwaka. Hii ni nzuri. Ila ziwe genuine tu. Tusisubiri Ripoti ya CAG. Ukitazama Private commercial institutions kama Banks...
Mahakama Kuu ya Tanzania imeliamuru gazeti The Citizen kumlipa fidia ya shilingi bilioni mbili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Mchechu kwa kuchapisha habari zilizomshushia hadhi.
Hukumu hiyo imetolewa leo Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, ikielezwa kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
Hivi hii sera ya ubia ya NHC ilipelekwa kabisa kwenye baraza la mawaziri, wakailewa na kusema sawa.
Mtu ana mpango wa kwenda kuvunja majengo kadhaa kisa tu yapo prime areas na kuwatoa wapangaji sio tu hana hela ya kuendeleza yeye mwenyewe bali the immorality of it all is beyond me.
Kama hela...
MultiChoice Tanzania imemteua Nehemiah Kyando Mchechu kuwa mkuu wa bodi ya wakurugenzi uteuzi ulioanza rasmi Agosti 1, 2022
Multichoice wamesema wana imani kubwa na uwezo na uzoefu wake uliomfanya kuwa moja ya wakurugenzi mahiri hapa nchini.
Pia, soma=> BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya...
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam mbele ya Jaji Leila Mgonya wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Katika kesi hiyo, Mchechu anawakilishwa na mawakili wa kujitegemea Aliko Mwamanenge ma Vitalis Peter.
Mchechu anadai kuwa gazeti hilo katika toleo lake la Machi...
Huyu alikuwa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote. Ameutumikia Mfuko kwa takribani miaka kumi lakini baada ya kuondoka tu yeye ndiyo Mfuko ukaanza kujulikana.
Yule dada aliyempokea nafasi Justina Mashiba angalau anaonekana kufanya kazi - kwa muda mfupi anaufanya Mfuko uonekane. Juzi...
Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika.
Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana...
Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
Kindamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.